Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar achukuwa fomu ya Kugombea Umakamu Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo.

Habari katika Picha zikimuonyesha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Massoud Othman akikabidhiwa fomu ya Kugombea Umakamu Mwenyekiti Mwanachama wa chama hicho na Mjumbe wa Kamati ya Uchaguzi ya Chama cha ACT Wazalendo Muhene Said Rashid katika Afisi Kuu ya chama hicho Vuga Zanzibar. Baada ya Kuchukua Fomu Makamu wa kwanza wa Rais